mechi iliyokuwa na upinzani wa hali ya juu kati ya simba fc vs mbeya city ukiwa umemalizika kwa mbeya city kuibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja mchezo uliochezwa katika uwanja wa taifa,makosa ya peter manyika yaigharimu simba dakika za lala salama na kufanya wekundu wa msimbazi kupoteza mchezo huo wakiwa nyumbani akiwa bado katika hali ngumu bado mchezaji wake cholo akikosa pernat ya kusawazisha katika dakika ya "94"

Advertisement

 
Top