
Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Msee na Jux ambao wameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Imetoka na imeongozwa na Zed Benson,karibu uitazame.
click hapa chini kuitazama/kudownload pia