hii ndio picha aliyo post zali leo asubuhi na kuandika "another day,another flight.stay blessed"

jumatatu hii diamond aliondoka kuelekea nchini nigeria kwenye tuzo za Glo-caf awards zitakazo fanyika alhamis hii katika jiji la lagos,diamond ni miongoni mwa washiriki katika tuzo hizo
picha hapo juu alipost diamond akiwa mpweke akionesha kuna kitu amekosa kutimiza furaha yake 

Advertisement

 
Top