KATIKA PICHA; SIMBA ILIVYOIMALIZA POLISI MORO KWAO MOROGORO MSHAMBULIAJI WA SIMBA, ELIUS MAGURI (KUSHOTO) AKIPAMBANA NA BEKI WA POLISI KATIKA MECHI YA LIGI KUU BARA KWENYE UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO, LEO. MAGURI ALIFUNGA BAO LA PILI WAKATI SIMBA IKIIBUKA NA USHINDI HUO WA MABAO 2-0.