EDEN HAZARD AKIRUKA JUU KUSHANGILIA BAO ALILOFUNGA KATI YA MATATU YALIYOFUNGWA WAKATI CHELSEA IKIICHAPA HULL CITY KWA MABAO 3-2 KATIKA MECHI YA LIGI KUU ENGLAND, LEO. CHELSEA SASA IMEFIKISHA POINTI 67 NA KUZIDI KUJICHIMBIA KILELENI "KAMA DAWA" IKIWA NA POINTI 67 NA MCHEZO MMOJA MKONONI. |