Hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamekutana mara ya kwanza, safari hii kwa ajili ya ‘kazi’.
Wawili hao watakutana katika pambano ghali zaidi la ngumi katika historia ya mchezo huo litakalipigwa Mei 2, mwaka huu.

Kila mmoja alionyesha kujiamini kwamba atafanya vizuri katika pambano hilo na wakasisitiza watu wajitokeze kulishuhudia pambano hilo la kihistoria.

Tayari kila mmoja ameishaanza kujiandaa na pambano hilo na kufanya mazoezi makali. CHEKI MAPICHA.












Advertisement

 
Top