HAYA NDIYO MAJONZI YETU TANZANIA, ANGALIA TASRIRA 4 STARS NDANI YA UZI MPYA ILIVYOCHAPWA 3-0 NA MISRI OSCAR JOSHUA AKIMUANGALIA MSHAMBULIAJI MOHAMMED SALAH AKIMALIZIA KUFUNGA BAO LA TATU DHIDI YA TAIFA STARS KATIKA MECHI DHIDI YA MISRI ILIYOISHA KWA STARS KULALA KWA MABAO 3-0 IKIWA NI KUWANIA KUCHEZA AFCON. ANGALIA PICHA NYINGINE...