Pamoja na TFF kuputisha wachezaji wanne, kila mchezaji sasa atalipiwa dola 2000 (zaidi ya Sh milioni 4) kwa msimu.


Hilo limepitishwa leo Zanzibar wakati wa kamati ya utendaji ya TFF ilipokutana kujadili masuala kadhaa.

Moja likiwa hilo ikiwa ni pamoja na kupitisha wachezaji saba kwa kila klabu.

Klabu sasa zinaruhusiwa kusajili wachezaji hadi saba, awali ilikuwa wachezaji watano.

Kabla ya hapo ilikuwa wachezaji 10 na TFF ikapunguza hadi watano kukiwa na ahadi ya kupunguza hadi wachezaji watatu.

Advertisement

 
Top