Taifa Stars sasa itatumia uzi mpya na mechi dhidi ya Misri wikiendi ijayo ndiyo itakuwa ya kwanza.


Uzinduzi huo umefanyika leo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
 
Jezi hizo ni aina tatu, moja ikiwa rangi ya bluu, moja nyeupe na nyingi imechanganywa rangi zote mbili za bluu na nyeupe.

Wageni waliohudhuria katika mkutano wa TFF walionyeshwa jezi hizo na vijana waliokuwa wamzivaa baada ya kupanda jukwaani.




Advertisement

 
Top