Hivi ndivyo kocha mpya wa viungo wa Simba, Dusan Momcilovic alivyoanza kazi rasmi.
Dusan raia wa Serbia ambaye ameingia mkataba na Simba, alianza kazi kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Kocha huyo alishirikiana na bosi wake, Dylan Kerr raia wa Uingereza kukifua kikosi hicho cha Simba.