
Klabu ya Sonderjyske ya nchini Denmark imempokea mshambuliaji wake mpya Emmanuel Okwi na kumkabidhi jezi yake ileile.
Wakati akiwa Simba, Okwi raia wa Uganda alikuwa akitumia jezi namba 25 ambayo Sonderjyske wamemkabidhi.
Okwi amejiunga na timu hiyo akitokea Simba aliyoichezea baada ya kuiacha akajiunga na Etoile du Sahel ya Tunisia na baadaye Yanga.
