
Golikipa huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ amevitaja baadhi ya vilabu ambavyo vimekuwa vikiiwinda saini yake kuwa ni Mbeya City, Ndanda FC pamoja na African Sports.
Habari za ndani zaidi zinasema kuwa, Kaseja tarari ameshamalizana na Coastal Union ya Tanga na amerejea jijini Dar es Salaam kuja kuchukua vitu vyake tayari kwa kuanza maisha mapya kwenye klabu ya ‘Wagosi wa Kaya’ kwa ajili ya msimu ujao.
Hapa chini unapata fursa ya kumsikiliza Kaseja akivitaja baadhi a vilabu vinavyopigana vikumbo kumsajili, bofya hapo kusikiliza stori kamili….