Aliyekuwa kocha mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi ameanza
kazi Yanga akiwa ni kocha msaidizi.
Mwambusi ameanza kazi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es
Salaam, jana chini ya Mholanzi, Hans van der Pluijm.
Kocha
huyo mzelendo, amechukua nafasi ya mzalendo mwenzake, Charles Boniface
Mkwasa ambaye ameajiriwa kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars.