YANGA IMEENDELEA
KJIFUA LEO KWENYE UWANJA WA BOKO VETERANI JIJINI DAR ES SALAAM KUJIANDAA
NA MECHI YAKE YA LIGI KUU BARA DHIDI YA AZAM FC, JUMAMOSI. YANGA
IMEFANYA MAZOEZI HAYO CHINI YA KOCHA WAKE MKUU, HANS VAN DER PLUIJM NA
MSAIDIZI WAKE, JUMA MWAMBUSI. |