
Maguri ambaye anajulikana kwa pilika na presha kwa mabeki, amekuwa kati ya wachezaji wanaofanya mazoezi kwa juhudi kubwa katika kikosi cha Simba.
Mshambuliaji huyo aliyetokea Ruvu Shooting amekuwa akijifua kwa nguvu sana gym.
Pia ameendelea kuonyesha juhudi hata pale kikosi hicho chini ya Patrick Phiri anayesaidiwa na Selemani Matola kilipokwenda uwanja