BAADA ya kutulia kwa muda
mrefu, sasa usiku wa Uefa umewadia tena ambapo kesho mechi mbili za ligi
ya mabingwa barani Ulaya raundi ya 16 bora zitapigwa.
Paris-Saint Germain watawakaribisha wazee wa Darajani kutokea Londond, England, Chelsea The Blues.
Shakhtar Donetsk watachuana na Bayern Munich ya Ujerumani.