mashabiki wa simba
dakika 45 za mwanzo wa mchezo mpira ulionekana kuwa sawa kwa kuwa timu zote mbili zilikuwa zikilinda  goli lake na pia kufanya mashambulizi ya kushtukiza kwa lango la timu pinzani,kipindi cha pili wekundu wa msimbazi waliingia wakiwa na kasi zaidi katika mashambulizi zaidi katika lango la mtibwa sugari hali iliyo pelekea hadi dakika  90 wakienda bila bila katika dakika za nyongeza ndizo ziliipa msimbazi kuibuka na ushindi ulio ipa nafasi zaidi msimbazi katika msimamo wa ligi kuu vpl mpka sasa wakiwa wanaachwa pointi 2 na yanga african

Advertisement

 
Top