TASWIRA ZA NAMNA MGAMBO ILIVYOITULIZA SIMBA KWA VIRUNGU VIWILI TU MKWAKWANI LICHA YA KUWA NA MWENDO MZURI, SIMBA IMEKUBALI KIPIGO CHA MABAO 2-0 KUTOKA KWA MGAMBO HUKU IKIMPOTEZA KIPA WAKE IVO MAPUNDA ALIYELAMBWA KATI NYEKUNDU. CHEKI PICHA UONE MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI MJINI TANGA.