fainali za 8bora ya wazawa 2015 yamalizika rasmi leo
mgeni rasmi mh.mtemvu
mh.mtemvu akiwa na viongozi wenzake kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi,amabapo mshindi wa kwanza alikabidhiwa kitita cha laki moja,jezi full na mbuzi, mshindi wa pili alikabidhiwa elfu hamsini pamoja na jezi
kaptaini wa home boys akipokea zawadi kwa mshindi wa pili
mmoja wa waandaaji Njala akikabidhi mbuzi kwa muheshimiwa
home boys mara baada ya kushindwa katika mikwaju ya pernati
kaptaini wa boys unit akipokea zawadi kutoka kwa mh.mtemvu
home boys vs boys unity baada ya mechi kuisha
muda wa mikwaju ya pernati
baadhi ya mashabiki wa vituka walio jitokeza leo uwanjani
njala akiwa anajianda kutoa zawadi ya mbuzi kwa mshindi