
Shrikisho la Mpira wa Miguu
nchini TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa
Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa
mwenyeji wa mashindano hayo ngazi ya vilabu yatakayotimua vumbi kuanzia
mwezi Julai mwaka huu.
Kufuatia maombi
hayo ya uenyeji wa michuano ya CECAFA kwa ngazi za vilabu Bingwa Afrika
Mashariki na Kati (Kagame CUP), TFF inatafakari juu ya maombi hayo na
itayatolea maamuzi.