Shirikisho la Soka barani Afrika leo limechezesha droo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa katika ofisi za makao makuu ya zilizopo Cairo, Misri ambapo timu nane zimewekwa katika makundi mawili A na B ya ushindani.
Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu ambao wanakipiga katika klabu ya TP Mazembe, timu yao imepangwa katika kundi ambalo linaundwa na timu nyingine tatu ambazo ni Smouha, Moghreb Tetouan, El Hilal.
Makundi hayo ni kama yafuatavyo.
Group A
Smouha (Egypt)
Moghreb Tetouan (Morocco)
TP Mazembe (DR Congo)
El Hilal (Sudan)
Moghreb Tetouan (Morocco)
TP Mazembe (DR Congo)
El Hilal (Sudan)
Mbali na michuano hiyo ya Klabu Bingwa pia Mkutano huo ambao uliongozwa na Katibu mkuu wa CAF Hicham El Amrani akisaidiana na makamu wa kwanza wa Rais wa shirikisho hilo Suketu Patel wakiwemo viongozi wengine wa ngazi za juu, walichezesha pia droo ya Kombe la shirikisho kwa robo fainali ambapo majibu yalikuwa kama hivi.
Ahly (Egypt) vs Club Africain (Tunisia)
Esperance (Tunisia) vs Hearts of Oak (Ghana)
AC Leopards (Congo) vs Warri Wolves (Nigeria)
CS Sfaxien (Tunisia) vs ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire)
AS Vita (DR Congo) vs Stade Malien (Mali)
Orlando Pirates (South Africa) vs AS Kaloum (Guinea)
Zamalek (Egypt) vs Sanga Balende (DR Congo)
Etoile du Sahel (Tunisia) vs Raja Athletic Club (Morocco)