Hamisi Kiiza (kushoto) akipokea tuzo ya mchezaji bora wa Simba SC wa mwezi Septemba kutoka kwa kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr
Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza amebeba tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Simba.
Tuzo hiyo imekabidhiwa leo kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu Dar es Salaam wakati Simba ikifanya amzoezi.

Kiiza alikabidhiwa tuzo hiyo na Kocha Mkuu, Dylan Kerr ambayo ni ngao pamoja na Sh 500,000.

Simba imeanzisha utaratibu wa kutoa tuzo kila mwezi kwa wachezaji wake ikiwa ni sehemu ya kuwahamasisha.

Advertisement

 
Top