Rais John Pombe Magufuli amemteua Nape Nnauye kuwa Waziri wa Utamaduni, Habari, Wasanii na Michezo.

Nape ambaye ni mbunge wa jimbo la Mtama (CCM), ameteuliwa kwa mara ya kwanza kuwa waziri.
Rais Magufuli amemtaja Annastazia Wambura kuwa naibu waziri katika wizara hiyo.

Kwa mara ya kwanza chini ya Rais Magufuli, wizara hiyo imeongezewa kitengo cha wasanii ambacho hakikuwepo katika awamu ya nne.

Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi, Utawala bora
Simbachawene, Angela Kairuki, Jafu
Makamu wa Rais, Muungano, Mazingira
January Makamba, Luhaka Mpina
Waziri mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na walemavu
Mhagama, Poss Abdallah, Mavunde
Kilimo, mifugo na Uvuvi
Mwigulu Nchemba, William Ole Nasha
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
HAJAPATIKANA, Injian Edwin Ngoyani
Fedha na Mipango
HAJAPATIKANA, Dk Ashanti Kijaji
Nishati na Madini
Dk Mwijarubi Mhongo, Medadi Karemanya
Matibabu
Dk Mwakyembe
Mambo ya Nje, Ushirikiano Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Dk Augustine Mahiga, Dk Suzan Kolimba
Ulinzi, Jeshi la kujenga ataifa
Dk Hussein Mwinyi
Mambo ya Ndani
Charles Kitwanga
Ardhi, Nyumba Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi, Angelina Mabura
Maliasili na Utalii
HAJAPATINA, Injiani Lamo Makami

Advertisement

 
Top