Picha 12 kutokea Airport Dar Mbwana Samatta alivyotua na tuzo yake Jan 9 2016 mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika Mbwana Samatta alitua Dar na kupokewa na mashabiki zake kutokea maeneo mbalimbali ya jiji. Shabiki akikomaa kumtazama Samatta Thomas Ulimwengu & Zitto Kabwe Baba mazaza wa Samatta